Sfinksi - Wikipedia, kamusi elezo huru. Sfinksi (kwa Kiingerezasphinx) ni kiumbe cha visasili katika tamaduni za Misri ya Kale, Ugiriki wa Kale na Mesopotamia. Inajulikana pia katika visasili na sanaa za Asia ya Kusini na Kusini- mashariki. Inaunganisha mwili wa simba na kichwa cha binadamu. Kisasili cha sfinksi za Mashariki ya Kati kwa kiasi kikubwa kimesahauliwa. Ni pekee kuhusu sfinksi ya Ugiriki ya kwamba hadithi kadhaa zimehifadhiwa. Sfinksi katika visasili vya Ugiriki ya Kale. Kibali cha kuingia mjini kilitolewa kwake aliyejua jibu pekee. Aliyeshindwa kujibu aliuawa na kuliwa naye. Huyu Sfinksi iliaminiwa kuwa ilitumwa na mungu. Hera (au Ares kufuatana na mapokeo tofauti) kutoka kwake Ethiopia. Kwa hiyo Wagiriki walikumbuka ya kwamba kiasili habari za Sfinksi zilifika Ugiriki kutoka Afrika. Kitendawili kilikuwa hiki: . Akiwa mtoto mchanga anatambaa kwa kutumia mikono na miguu, akiwa mtu mzima anatembea kwa miguu yake miwili, akiwa mzee anatumia fimbo. Wa kwanza anamzaa wa pili, halafu wa pili anamzaa wa kwanza. Mashuhuri hasa ni Sfinksi Kubwa katika eneo la Piramidi za Giza karibu na jiji la Kairo. Kichwa chake kinaaminiwa kuonyesha uso wa Farao Khufra. Sanamu za Sfinksi ziliwekwa mbele ya piramidi na mahekalu kama walinzi na wote waliotaka kuingia hapo walipaswa kupita kwa. Kuna mifano kadhaa ya makundi ya sfinksi yanayosimama upande wa kulia na kushoto wa njia inayoelekea geti la hekalu. Kulikuwa pia na sfinksi zilipewa kichwa cha mnyama aliyekuwa nembo wa mungu fulani kwa mfano kondoo (nembo ya mungu Amun) au ndege wa kipanga (nembo ya mungu Horus). Wakati wa Zama za mwamko (Renaissance) katika Ulayawasanii walivutwa na habari za Misri ya Kale wakaanza kuchonga sanamu za Sfinksi kama mapambo wa nyumba za kifalme au nyanya za miji. Wasanii wa Ulaya walitumia Sfinksi kama alama ya milele na kitendawili. Wachoraji walionyesha Sfinksi kama wa kike. Hii imetokana na lugha ya Kigiriki ambako Sfinksi ina jinsi ya kike kisarufi . Sfinksi katika Asia ya Kusini na Kusini- Magharibi. A Magazine of the Arts''. ISBN 9. 78- 0- 5. Stewart, Desmond. Pyramids and the Sphinx. Print. Kallich, Martin. Print. Wikimedia Commons ina media kuhusu. Sfinx; Avaintiedot; Alkuper. Paino: urokset 4-5 kg, naaraat 3-3,5 kg: Infobox OK. This feature is not available right now. Please try again later. Sfinks – Sfinksi ajalugu. Inflection of sfinksi (Kotus type 5/risti, no gradation) nominative: sfinksi: sfinksit: genitive: sfinksin: sfinksien: partitive: sfinksi. Sfinksi; Kornvolas rekss ka. Sfinksi goes SPR; Ennakkoale syyskaudelle viel! Search for: Recent Comments. Thank you for the Fall term! See you all soon again! Sfinksiem ir izteiksm.
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. Archives
December 2016
Categories |